Msaada kuhusu karasha na faida zake kwenye machimbo

Msaada kuhusu karasha na faida zake kwenye machimbo

Joined
Jan 26, 2019
Posts
87
Reaction score
113
Habari vp wanajukwaa.

Mm ni kijana naomba msaada wa ushauri kuhusu karasha la kusaga mawe na kuwa unga. Je kuwekeza katika karasha inalipa au vip na kama kwel inalipa ni jinsi gan inavyo leta faida? Mimi mzee wangu ndo amenunua anataka niende nikalisimamie
 
Habari vp wanajukwaa .Mm ni kijana naomba msaada wa ushauri kuhusu karasha la kusaga mawe na kuwa unga. Je kuwekeza katika karasha inalipa au vip na kama kwel inalipa ni jinsi gan inavyo leta faida? Mimi mzee wangu ndo amenunua anataka niende nikalisimamie

Linafaida katika kukusaidia kukusanya rundo,ongezea kuwa na mwalo pia itakusaidia zaidi. Kumbuka dhahabu nyingi hubaki kwenye rundo au marudio.
 
Back
Top Bottom