Naomba msaada wakuu
Tulikoroshana na my wife 2008 mwaka mmoja tu baada ya kufunga ndoa ya kikatoliki. Akarudi kwao na kubeba baadhi ya vitu vyake. Tukaendelea na mawasiliano huku tukijaribu ku reconcile. Imeshindikana kurudi na nikaamua kuomba talaka na yeye akakubali. Tukaanza ustawi tukapewa go ahead tulikuwa tumekubaliana. Tukaenda baraza la usuluhishi mwenzangu akaanza kubadilika, hataki tena talaka. Na mimi nikasema simtaki kabisa, hivyo nikapewa hati niende mahakamani
Sababu za kuomba talaka
1. Hatupo pamoja tangu 2008 kwa madai kuwa mimi si mwaminifu
2. Ni mkatili mno . amewahi kunifungia ndani mara tatu kwa zaidi ya masaa 8.
Naomba maoni kama kesi hii nitashida au la. whether mimi nipewe talaka au yeye nimpe talaka, kati ya hiyo ni ushindi kwangu. Niko tayari kugawana mali atakazothibisha kuwa ni zetu. Mimi nakaa bukoba na yeye dar na hajawahi kufika tangu nimehamia huko mara baada ya yeye kuondoka tulipokuwa tukiishi awali yaani Singida
Je kesi huchukua muda gani na je kuna ulazima wa mashahidi?
Naweza kuiomba mahakama isikilize kesi yangu mfululizo? Ni ngumu kuja dar mara kwa mara kutokana na gharama za usafiri, malazi na mambo ya kikazi ofisini
Natanguliza shukrani