Msaada kuhusu kidato cha tano wanaofahamu watujuze pls

Msaada kuhusu kidato cha tano wanaofahamu watujuze pls

Yusomwasha

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
2,092
Reaction score
839
napenda kuuliza waliopata pass nzuri wamepangiwa A-LEVEL?


na jee kutakuwa na SECOND SELECTION ya kidato cha 5?

NAWASILISHA
 
Usijaji kutokana na matokeo haya kuchelewa ni wazi kuwa wanafunzi wengi hasa wale wenye uwezo na waliofaulu vizuri walisha jiunga na shule za private ivyo post za pili zinaweza hata kuwachukua wenye pass nzuri..tusubili tuone ila ni mbaka mwezi wa 8 baada ya taarifa za shule zote kutumwa tamisemi kuhusiana na wanafunzi ambao hawaja ripoti shule
 
Back
Top Bottom