Msaada kuhusu kidole kuvimba kwa mdudu.

Msaada kuhusu kidole kuvimba kwa mdudu.

freeboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
242
Reaction score
191
Wana jukwaa nawasalimu.

Kuna kitu kinanitatiza kidogo kuhusu kidole kuvimba maarufu kama mdudu.

1. Je uvimbe wa kidole kutokana na mdudu unasababishwa na nini hasa?

2. Ni nini tiba mbadala ya kidole kilichovimba kwa mdudu ukiacha ya kwenda kupasuliwa hospitalini?

Nimeuliza haya maswali nipate kujua mana nimeshuhudia watu wengi sana wanaosumbuliwa na hawa wadudu hadi kupelekea kupata vilema vya vidole pindi wapasuapo mahospitalini.

Naomba tuelimishane naamini utakua msaada kwa wengine pia.

Nawasilisha.

Cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Hukujibiwa hili suala? Kama ulipata jibu kuna mwenzio kaliuliza tena
 
Back
Top Bottom