Msaada kuhusu kipimo cha CT scan Dar es Salaam

Msaada kuhusu kipimo cha CT scan Dar es Salaam

afebris

Member
Joined
Nov 17, 2015
Posts
96
Reaction score
105
Msaada wenu wakuu,
Kwa hapa Dar wapi kuna machine za kufanyia kipimo cha CT scan na wanafanya kwa bei nafuu? Nataka nimpeleke wife akapime kichwa.

Ningependa kujua gharama kabla hatujaenda.

Natanguliza shukrani.
 
Muhimbili ni laki na nusu, sijui kwa hospitali nyingine.
 
Kuna lab inaitwa BESTA wapo kinondoni makaburini ile brbr ya lami inayoingia kushoto kuelekea ofc ya ultimate security basi unasogea mbele upande huohuo wabkushoto yaani ni mbele ya ultimate security. CT scam sijui bei zao ila MRI inaanzia 400,000
 
Msaada wenu wakuu,
Kwa hapa Dar wapi kuna machine za kufanyia kipimo cha CT scan na wanafanya kwa bei nafuu? Nataka nimpeleke wife akapime kichwa.

Ningependa kujua gharama kabla hatujaenda.

Natanguliza shukrani.
Nenda TMJ hospital pale mikocheni, last year nilimpeleka ndugu yng pale, cost ilikuwa laki 6
 
Back
Top Bottom