afebris Member Joined Nov 17, 2015 Posts 96 Reaction score 105 Dec 4, 2016 #1 Msaada wenu wakuu, Kwa hapa Dar wapi kuna machine za kufanyia kipimo cha CT scan na wanafanya kwa bei nafuu? Nataka nimpeleke wife akapime kichwa. Ningependa kujua gharama kabla hatujaenda. Natanguliza shukrani.
Msaada wenu wakuu, Kwa hapa Dar wapi kuna machine za kufanyia kipimo cha CT scan na wanafanya kwa bei nafuu? Nataka nimpeleke wife akapime kichwa. Ningependa kujua gharama kabla hatujaenda. Natanguliza shukrani.
kizo83 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 354 Reaction score 332 Dec 4, 2016 #2 Muhimbili ni laki na nusu, sijui kwa hospitali nyingine.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,767 Reaction score 23,198 Dec 5, 2016 #3 Regency.... Upanga kwa dr ashish pale
Ngozi Joram JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 662 Reaction score 545 Dec 5, 2016 #4 Kuna lab inaitwa BESTA wapo kinondoni makaburini ile brbr ya lami inayoingia kushoto kuelekea ofc ya ultimate security basi unasogea mbele upande huohuo wabkushoto yaani ni mbele ya ultimate security. CT scam sijui bei zao ila MRI inaanzia 400,000
Kuna lab inaitwa BESTA wapo kinondoni makaburini ile brbr ya lami inayoingia kushoto kuelekea ofc ya ultimate security basi unasogea mbele upande huohuo wabkushoto yaani ni mbele ya ultimate security. CT scam sijui bei zao ila MRI inaanzia 400,000
M Mwanapropaganda JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 4,235 Reaction score 2,508 Dec 6, 2016 #5 Hata Kairuki nilisikia wanayo.
Joe N Member Joined Sep 15, 2016 Posts 15 Reaction score 5 Dec 7, 2016 #6 afebris said: Msaada wenu wakuu, Kwa hapa Dar wapi kuna machine za kufanyia kipimo cha CT scan na wanafanya kwa bei nafuu? Nataka nimpeleke wife akapime kichwa. Ningependa kujua gharama kabla hatujaenda. Natanguliza shukrani. Click to expand... Nenda TMJ hospital pale mikocheni, last year nilimpeleka ndugu yng pale, cost ilikuwa laki 6
afebris said: Msaada wenu wakuu, Kwa hapa Dar wapi kuna machine za kufanyia kipimo cha CT scan na wanafanya kwa bei nafuu? Nataka nimpeleke wife akapime kichwa. Ningependa kujua gharama kabla hatujaenda. Natanguliza shukrani. Click to expand... Nenda TMJ hospital pale mikocheni, last year nilimpeleka ndugu yng pale, cost ilikuwa laki 6