Msaada kuhusu kozi ya Mining Engineering

1. Anajua chochote kuhusu migodi, madini?
2. Alivyo anaweza kuishi maisha ya vijijini ndani ndani huko kwenye migodi ya wachimbaji wadogo.
3. Biashara ya kuchimba sasa hivi wachina wamevamia hatari wachina hawaangali elimu ya chuo wanataka kazi na malipo yao ni Kidogo
4. Mwisho atembele maeneo yanayofanya uchimbaji Mkubwa mfano Tarime, Kahama na aende Chunya, Tunduru au Ruangwa huko atapata ukweli kabla ya kuanza hiyo kozi Hapo November.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…