Msaada kuhusu kozi ya ualimu ngazi ya diploma mwaka 2013/2014

Msaada kuhusu kozi ya ualimu ngazi ya diploma mwaka 2013/2014

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Naomba mnisaidie, nina mdogo wangu anataka kuomba diploma ya ualimu kwenye vyuo vya serikali kupitia wizara ya elimu, lakn bado hajapata result slip. Sasa basi, naomba kujua kama tayari washaanza kutuma maombi au la, na kama tayari, je, wanatumaje bila result slip? Naomba kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya huu mchakato mzima atusaidie.
 
nadhani watatoa mwongozo muda si mrefu kuanzia sasa itakua mapema sana na itakua nafasi ya wiki zisizozidi mbili... kwa msaada download matokeo weka alama ktk namba yake tuma na viambatanisho vingine walivyoviorodhesha wizara.
 
Back
Top Bottom