Naomba mnisaidie, nina mdogo wangu anataka kuomba diploma ya ualimu kwenye vyuo vya serikali kupitia wizara ya elimu, lakn bado hajapata result slip. Sasa basi, naomba kujua kama tayari washaanza kutuma maombi au la, na kama tayari, je, wanatumaje bila result slip? Naomba kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya huu mchakato mzima atusaidie.