The Intelligent
JF-Expert Member
- Dec 27, 2013
- 2,459
- 824
nenda kwenye website ya necta na wewe acha uvivu.
nimeshakuwekea hapo... ila ukiingia kwenye website yao angalia Tangazo CSE 2014 ... ada utalipa na adhabu so ni kama 65000 hivi na some charges za hapa na pale...muandalie dogo kama laki hivi ....Hayo maelezo nnayoyahitaji mbona sijayaona kwenye website yao?
nimeshakuwekea hapo... ila ukiingia kwenye website yao angalia Tangazo CSE 2014 ... ada utalipa na adhabu so ni kama 65000 hivi na some charges za hapa na pale...muandalie dogo kama laki hivi ....
nenda kwenye website ya necta na wewe acha uvivu.
mkuu je ni kweli ukilipia posta ni lazima ukamilishie internet cafe ya posta kwingine zoezi linadunda? nisaidie niokoe muda nisijiisumbue kwenda cafe za mitaani ambako ni jirani. natanguliza shukrani