Kacharimbe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 216
- 35
Wakuu, nilipewa offer ya employment na kampuni moja miaka mitatu iliyopita. Offer hiyo ilieleza kuwa baada ya mwaka nitasaini mkataba wa miaka miwili ambao unaweza kuhuhishwa (renewable)
Baada ya mwaka mmoja nilipewa barua ya kuthibitishwa kazini. Niliipokea ila sikuijibu. Tangu kipindi hicho nimesubiri mwajiri aandae mkataba tusaini lakini hadi leo hatujasaini
Sasa nataka kuacha kazi kwa kutoa notisi ya saa 24. Je, nitalazimika kulipa mshahara wa mwezi mmoja? Kama itanilazimu je, naweza kuchukua likizo huku nikiwa nimetoa notisi ya kuacha kazi ya mwezi? Mwaka huu sijachukua likizo. Nawasilisha wakuu kwa msaada wenu