Sawa, lakini sheria ya kazi (at least iliyowekwa hapa) haim-mandate mwajiriwa kumlipa mwajiri wake endapo ataacha kazi ghafla.
sheria gani? onyesha mstari wa sheria unaosema uki quit kazi utatakiwa kumlipa mwajiri mshahara.
Waaaapi hapo? Ni wapi sheria imesema mwajiriwa ana hiari ya kumlipa mwajiri mshahara?
Wewe mwenyewe bwashee huoni kwamba hicho mnachokisema haki make sense na hakiwezi kuwekwa kwenye sheria? Nani atafanya "hiari" ya kumlipa mwajiri hela maisha haya?
Sheria na mkataba sijui kama kipi kina nguvu zaidi. Nimeona contracts zingine mwajiri anataka notice ya 3 months ama 1 month salary in case of 24 hrs notice. Mingine inataka one month notice. Nadhani inategemea na umuhimu wa position.
Umewahi kutana na mkataba unakuambia 'unategemewa kuwepo nasi walau kwa miaka 5, otherwise utarudisha gharama zote za trainings ulizopelekwa ikiwemo usafiri na malazi!' Huwa namshangaa sana mtu asiyesoma mkataba kabla ya kusaini!
Kwa hiyo hujui!Unaelewa matumizi ya neno 'nadhani'? Well, I am not sure ni kipengele gani haswa.
"sheria inasemaje kama muajiri anaweza akakupa summary dismisal Bila kukulipa?" ...Swali kwako, sheria inasemaje kama muajiri anaweza akakupa summary dismisal (NADHANI hii ndo kama 24 hrs or less notice ya muajiri...) Bila kukulipa? Like unaenda ofisini asubuhi na kurudi huna kazi?
Sheria hairuhusu summary dismisalKwa hiyo hujui!
Tunatafuta facts hapa, sio 'nadhani.'
"sheria inasemaje kama muajiri anaweza akakupa summary dismisal Bila kukulipa?" ...
Sielewi hicho kiswahili cha swali lako, ni kibovu.
Sheria ipiiii? Mbona hamsemi? hahahahahahahah....Bwashee sheria ndiyo inayotupa mwongozo kuandika hiyo mikataba yetu
nadhani ulimaanisha kusema "kwa nini ulipwe mshahara wa mwezi endapo hujampa mwajiri notisi." Vinginevyo hau make sense.Kwa nini wewe ulipwe mshahara wa mwezi endapo mwajiri hajakupa notisi?
Nipo kwenye managrial position. I believe that it is wise to leave the organization in good terms Sina tatizo na kutoa notisi ya siku 28 ila mahusiano na mwajiri wangu yameharibika kiasi cha kuleta hofu na kukosa amani pindi unapofika muda wa kwenda kazini
kama gharama za kutoa notisi ya 24 hrs ni mshahara wa mwezi mmoja sina tatizo nalo kabisa, i can do in good faith. Ni kweli 24 hrs notisi hata mimi sipendi ila nikiangalia mbele naona kama gharama za kuendelea kuwa pale angalau kwa wiki moja ni kubwa kuliko faida nitakayoipata au reputation ninayoilinda sana sana reputation yangu inaweza kuendelea kuporomoka
@ Anhauser
Bht anakusidia kusema kuwa kama Mwajiri hatakupa notisi ya kukuachisha kazi katika kipindi kilichoainishwa na sheria, "anaweza" [may] kukulipa ujira Muajiriwa.
Kwa nini sheria itoe muongozo huo?
Na nini mantiki ya muongozo huo wa kisheria?
Na kwa mantiki hiyo hiyo kwanini Mwajiriwa asimlipe Mwajiri akiacha kazi bila notisi?
Meneja hiyo ndo 'busara' tu unayotakiwa kutumia mwenyewe ukishakua umepima faida na hasra za hatua unayotaka kuchukua.Nipo kwenye managrial position. I believe that it is wise to leave the organization in good terms Sina tatizo na kutoa notisi ya siku 28 ila mahusiano na mwajiri wangu yameharibika kiasi cha kuleta hofu na kukosa amani pindi unapofika muda wa kwenda kazini
kama gharama za kutoa notisi ya 24 hrs ni mshahara wa mwezi mmoja sina tatizo nalo kabisa, i can do in good faith. Ni kweli 24 hrs notisi hata mimi sipendi ila nikiangalia mbele naona kama gharama za kuendelea kuwa pale angalau kwa wiki moja ni kubwa kuliko faida nitakayoipata au reputation ninayoilinda sana sana reputation yangu inaweza kuendelea kuporomoka
Hujajibu swali langu shemeji, unapotezea sio!
Btw. Sisikii uvivu ila natumia simu ya mchina.
Sec 14(2) inasema "A contract with an employee shall be in writing...." kwa hy alikuwa analazimika kupewa mkataba wa kimaandishi.The fact kwamba hukupewa mkataba
haina maana kuwa hakuna mkataba.
Makataba sio lazima uwe wa
maandishi. Mkataba wa maandishi ni
formality tuu
Sheria inasema muajiri ndiye anatakiwa atoe notice na sio muajiriwa, soma sec 41(5) ndo utaelewa.Sheria inaset minimum standards so
kutokana na sheria iliyobandikwa
hapa inasema kama wewe unalipwa
kwa mwezi basi inabidi utoe notice
ya siku 28 minimum,
Mkuu kipengele cha 34 kinaelezea issue za leave (likizo) na sio termination (kuacha kazi)Kipengele 41 kinaongelea pande
zote nadhani so pande zote mbili
zinaweza kuterminate contract,
kipengele cha 34 kinaongelea
mwajiri peke yake.
Hairuhusiwi kutoa taarifa ya kusitisha ajira wakati wa likizo au kutoa taarifa
hiyo sambamba na likizo.
Mwajiri anaweza kusitisha ajira ya mfanyakazi na kumlipa mshahara badala ya
taarifa.
Mfanyakazi anayo haki ya kukata rufaa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi endapo
hajaridhika na hatua ya Mwajiri kusitisha ajira kwa taarifa au kwa malipo
badala ya taarifa.
Sec 14(2) inasema "A contract with an employee shall be in writing...." kwa hy alikuwa analazimika kupewa mkataba wa kimaandishi.
Dena nimeeleza wazi kuwa mwajiri wangu hakunipa mkataba wowote leo ninapofikiria kuacha kazi. Nilipofaulu interview nilipewa nilipewa letter of appointment. Probation period ilikuwa ni miezi 6 baada ya hapo nitakuwa naingia mkataba wa miaka mitatu mitatu. Probation period iliisha na mkataba sikupewa. Leo ni mwaka wa tatu sina contract na mwajiri. Haya kazi kwako kushauri
Nakuachia shemeji yako, ila taratibu msije mkazima taa eh!
Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini No 6 ya 2004 inasomwa sambamba na kanuni zake za 2007 kupitia Tangazo la Serikali No. 42, 64, 65 na 67.Kwenye sheria za kazi mbona hamna sehemu inayozungumzia kuacha kazi kwa notice ya 24 hrs!
Sec 14(2) inasema "A contract with an employee shall be in writing...." kwa hy alikuwa analazimika kupewa mkataba wa kimaandishi.
Sheria inasema muajiri ndiye anatakiwa atoe notice na sio muajiriwa, soma sec 41(5) ndo utaelewa.
Mkuu kipengele cha 34 kinaelezea issue za leave (likizo) na sio termination (kuacha kazi)
Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini No 6 ya 2004 inasomwa sambamba na kanuni zake za 2007 kupitia Tangazo la Serikali No. 42, 64, 65 na 67.
Alafu kuhusu kumlipa mwajiri mshahara wa mwezi mmoja(notisi ya masaa 24) usihishie kwenye S.41(5) ya SAMK ebu malizia na S.41(6) SAMK ukishindwa kuelewa zama kwenye hayo ma-GN.
Note:
SAMK = Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini
GN = Government Notes