CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Mkuu malila naomba unisaidie juu ya hili kaka!!!!!
kaka nipe abc ya hii parking where we can get i like it niko seriuos for realniko ARUSHA MKUU, UNATAKIWA KUWA NA VITU KAMA HIVI
Ahsante sana mkuu.Kwa sababu unalenga soko la Dar, bora upate kipande cha shamba huku huku Dar. Nitakuibia siri kidogo ya hiyo biashara ya mboga na matunda. Nenda pale St.Joseph siku ya jumamosi asubuhi na mapema, kaa pale uone nini kinatokea. Kuna Masister fulani wanalima mboga Mkuranga na wanalima organically, hiyo mboga huuzwa mara mbili kwa week, inagombaniwa sana.
Kwa nini nimesema uwe na shamba karibu na soko lako, kwa sababu mteja mwingine atataka kutembelea shambani ili aone kwa macho kuhakikisha ubora wa mboga/matunda yako. Pili wewe mwenyewe itakuwa rahisi kudhibiti uchakachuaji.
Nenda Kisutu, ukaone aina za mboga wanazopenda Wahindi, kisha piga kwata mahotelin ili ujue mboga zao wanapata wapi, washawishi kwamba unaweza kuwapa mboga mfululizo.
Moja ya vitu ninavyoweza kukusaidia ni shamba la kuanzia kama utataka kulimia mboga/Matunda kwa hapa Mkuranga. Lina maji ya kutosha, kuna nyumba,linafikika na gari. Manpower juu yako. Matikiti, pilipili na mboga zingine zinamea vizuri. Pampu ya maji ni muhimu ili uweze kulima eneo kubwa.
Nakubaliana na mtoa mchango mmoja hapo juu aliyesema, inabidi uwe na kundi maalumu la kuuza mboga zako kwa kuanzia ili baadae uweze kupanuka.
Sinza/Mwenge/tegeta/Morocco/Kinondoni/Msasani ni maeneo mwafaka kwa biashara yako. Suala la gharama za frem sio rahisi kujua.Usisahau kulima paprica, zina soko nje ya nchi.
Ahsante sana mkuu,M/mungu akubaliki kwa wema wako.
Sasa parking hii inabidi ntafute japo mtaalamu 1 wa mambo ya parking,jee tanzania tunao watu wenye sifa za parking ya namna hii?na hii kamuni ipo hapa tz au nje ya tz?
Ahsante sana mkuu.
Ngoja nifanye mchakato.
So hapo mkuranga ntapata eneo la kutosha?kuhusu matunda ntaanza kwa kukusanya kwa wakulima,but mboga mboga ntalima mwenyewe!
Kwa sababu unalenga soko la Dar, bora upate kipande cha shamba huku huku Dar. Nitakuibia siri kidogo ya hiyo biashara ya mboga na matunda. Nenda pale St.Joseph siku ya jumamosi asubuhi na mapema, kaa pale uone nini kinatokea. Kuna Masister fulani wanalima mboga Mkuranga na wanalima organically, hiyo mboga huuzwa mara mbili kwa week, inagombaniwa sana.
Kwa nini nimesema uwe na shamba karibu na soko lako, kwa sababu mteja mwingine atataka kutembelea shambani ili aone kwa macho kuhakikisha ubora wa mboga/matunda yako. Pili wewe mwenyewe itakuwa rahisi kudhibiti uchakachuaji.
Nenda Kisutu, ukaone aina za mboga wanazopenda Wahindi, kisha piga kwata mahotelin ili ujue mboga zao wanapata wapi, washawishi kwamba unaweza kuwapa mboga mfululizo.
Moja ya vitu ninavyoweza kukusaidia ni shamba la kuanzia kama utataka kulimia mboga/Matunda kwa hapa Mkuranga. Lina maji ya kutosha, kuna nyumba,linafikika na gari. Manpower juu yako. Matikiti, pilipili na mboga zingine zinamea vizuri. Pampu ya maji ni muhimu ili uweze kulima eneo kubwa.
Nakubaliana na mtoa mchango mmoja hapo juu aliyesema, inabidi uwe na kundi maalumu la kuuza mboga zako kwa kuanzia ili baadae uweze kupanuka.
Sinza/Mwenge/tegeta/Morocco/Kinondoni/Msasani ni maeneo mwafaka kwa biashara yako. Suala la gharama za frem sio rahisi kujua.Usisahau kulima paprica, zina soko nje ya nchi.
Habari wana jf.
Poleni kwa majukumu ya kila siku.
Najitokeza kwenu ninyi kuomba mchanganua wa mawazo.
Ndugu yenu nina plani kuanzisha biashara ya mbogamboga na matunda,lengo langu ni kufungua duka hapa hapa Dar.
Ila uzalishaji wa bidhaa nimeplani kuweka Arusha.
Tayari nina mtaji wa kutosha ingawa juu ya biashara hii nimepanga kuweka mtaji wa kati ya tsh30,000,000-tsh50,000,000.
Naomba nieleweke,hapa nahitaji mawazo kujua kama biashara hii italipa,na wapi niweke hilo duka,ikiwezekana hata nijue bei ya fungu 1 la mboga naweza uzaje kutegemea na ubora wa mboga zangu(very high quality)
,ninauhakika wa kuzalisha mboga yenye ubora wa 90-100% na isiyotumia kemikali ya aina yoyote.
Kuhusu matunda ntakua nayakusanya kwa wakulima vijijini na kuyapanga katika gredi stahiki.
Kwa hayo machache nategemea ushauri wenye tija.
Naomba kuwakilisha wakuu:
Mambo ya ndege inatakiwa uwe na mzigo husika waupime make kuna vigezo wanatumia, huwezi pata gharama kwa kukadria bali wana vigezo na vigezo ni kutokana na aina ya mzigo.Habari wakuu,kuna ndugu yangu yupo nchi za nje amenitafutia wateja wa kununua matunda,naomba mwenye ujuzi anisaidie ushauri kwenye hii biashara!,kwenye mambo fuatayo!
(1)napenda kujua ndege za mizigo zinatoza sh.ngapi kwa uzito.
(2)namna ya kupata vifaa vya package na gharama zake hapa bongo.
(3) taratibu za kiserikali/kisheria za usafirishaji matunda nchi za nje
(4) Taratibu za kiafya
Karibuni wakuu kwa mchango wenu!.
Umemkatisha tamaa mwenzako badala ya kumsaidiaNchi za nje zipi? Burundi au Kenya, Au Ulaya au Asia ai America?
Maswali.
Unalima kwa kiwango gani?
- Biashara yako ilo regsted?
- Unalima kilimo cha aina gani?
Kama hizo nchi za nje ni za Ulaya na Asia basi jua kwamba wanapendelea Organic, kama unalima kwa hizi chemical zetu na mbolea hizi usitarajie kuuza huko.
MWISHO
Je umejiandaa kushindana na wazalishaji wengine kutoka Dunia nzima? Kutaoka Latini America, Asia nchi mama Philipine, Nchi za Ulaya, Nchi kama Israeli, Nchi za Africa kama South Africa.
Mkuu ku export hasa vyakula sio swala dogo hata kidogo na mpaka mamulaka husika zikuruhusu basi ujue umefanya kaz sana, Pia bora kuuza soko la ndani kutafuta uzoefu, soko la nje ni very complicated.
Tamaa kwamba? Mkuu ndo ukweli huo Soko la Ulaya kuuza vyakula ni ngumu huo ndo ukweli wenyewe, au uliataka ni mdanganye kwamba ni simple tu?Umemkatisha tamaa mwenzako badala ya kumsaidia