Msaada kuhusu kuappeal HESLB

Joined
Sep 2, 2012
Posts
48
Reaction score
7
Ndug wanajukwaa naomba kujua kama kuna mtuambaye ameshafanikiwa kuappeal HESLB kwa sababu nimejitahidi sana kuappeal kwa kufuata maelekezo waliyotoa katika blog yao.Kama kuna mtu ambaye amefanikiwa kuappeal naomba anisaidie ni njia ipi aliyotumia
 
nenda kwa mkuu wako wa chuo, kuna form zinatolewa chuoni hapo za kuapeal, utazijaza na evidence za kutosha then unasubmit hapo ulipoelekezwa na mkuu wako baada ya kulipia pesa kidogo, majibu hyatatoka mtandaoni, ukiwa umeongezewa asilimia kadhaa mjulishe mkuu wako wa chuo kwa kuprint hayo majina na kumpelekea
 
.Mimi cjapata kabisa hata 0% je hapo itawezekana kuappeal?
 
Na hizi habari wanazotangaza kuwa una appeal online zina ukweli? Yaani hapa hatuelewi kabisa.
 
nnacho kushauri, mfate mwalimu wako, Dean of Faculty atakushauri vizuri zaidi, mimi binafsi nilifanya kwa hard copy, nilijaza fom za kawaida n nikachek majb on lyn
Na hizi habari wanazotangaza kuwa una appeal online zina ukweli? Yaani hapa hatuelewi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…