WABALLA Inc
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 2,711
- 1,017
Asante Mkuu. Hata mie nimewaza ni hela nyingi nikaona nije kupewa mawazo kabla ya kwenda polisiMmmmhhhh... Laki moja.? Hapana japo sijakutana na hiyo scenario ni actual clues but as a lawyer nadhani hiyo ni pesa nyingi sana though ni kazi ya askari ku arrest but its a CIVIL litigation not CRIMINAL one, hapo ina maana linashughulikiwa privately by parties, anyway may be kama kuna sheria mpya inayosema hivo but kwa my view hapo kuna kitu sio sawa.
Asante kwa ushauri mzurinendeni kwa mkuu wakituo mkamueleze nyie mmepatana na kwa.amani mmekubaliana nje ya mahakama upelelezi unafungwa ni bure kabisa na ni njia ambayo kila mwenye akili anaipenda
Manakosea sana polis sio mahakama ila wanajigeuza mahakama siku zote kwa wasio jua haki zao.. wewe siku nyingine andaa kesi mahakamani sio polis na hiyo ni kesi ya madai wala si jinai unawezaje kumpeleka mtu centro tena anaweza kukugeuzia kibao.. cha kufanya we waambie umeshalipwa.. ko hunakesi na huyo mtuu ondoka zako wandee lee kumshikili. Watamfungulia kesi gani. kwani upo wapiHabari wakuu?!
Mie sina uzoefu sana na masuala ya sheria naomba msaada. Kuna mtu nilikuwa namdai nikampeleka polisi. Polisi wakaomba hela ya kumkamata kuwa ni hela la mafuta. Nikatoa mdaiwa akakamatwa akawekwa lumande. Ndugu zake wakamdhamini na kuahidi kunilipa hela yangu. Siku ya malipo imekalibia na mdaiwa kashapata pesa yangu inabidi twende polisi kulipana. Sasa napokea taarifa kuwa ili tumalizana na jalada lifungwe, inatakiwa mimi(mdai) nitoe shilingi laki moja na yeye(mdaiwa) atoe shilingi laki moja jumla ziwe laki mbili ili polisi wafute jalada.
JE NDIVYO SHERIA ILIVYO KUWA ILI POLISI WAFUTE JALADA INABIDI KUTOA HAYO MALIPO??
Wilaya ya BundaManakosea sana polis sio mahakama ila wanajigeuza mahakama siku zote kwa wasio jua haki zao.. wewe siku nyingine andaa kesi mahakamani sio polis na hiyo ni kesi ya madai wala si jinai unawezaje kumpeleka mtu centro tena anaweza kukugeuzia kibao.. cha kufanya we waambie umeshalipwa.. ko hunakesi na huyo mtuu ondoka zako wandee lee kumshikili. Watamfungulia kesi gani. kwani upo wapi
Mwigulu cheki watu wenu wamegeuza central kuwa mahakamaWilaya ya Bunda
Hata kama hujui sheria lakini usiwe mzembe kiasi hiki.Asante Mkuu. Hata mie nimewaza ni hela nyingi nikaona nije kupewa mawazo kabla ya kwenda polisi
Poa mkuu nkajua upo jirani nikusaidie.Wilaya ya Bunda
Asante hata mawazo uliyotoa ni msaada toshaPoa mkuu nkajua upo jirani nikusaidie.