Katelephone jr
Member
- Jun 15, 2014
- 43
- 2
Wakuu naomben msaada wenu kwan mdogo wenu nimekwama mim nilimalza kidato cha nne mwaka Jana na nikachaguliwa comb HGL ila mim cna uwezo nayo kitaaluma nilikua napenda nikasome PCB nna grade DCB au nikasome CBG kwa grade CBC Je inawezekana ?pia kama inawezekana naombeni njia ya jinsi ya kuhama school name taratbu zake maana nilienda tamisemi wakaniambia nifatilie nafasi mashulen naomben ushaur wenu wakuu