Msaada kuhusu kukopi taarifa mitandaaoni

Roga Roga

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
656
Reaction score
499
Mimi nataka kuwa nakopi matukio,historia,takwimu mbalimbali na makala halafu nazichapa kwa lugha ya kiswahili badala ya kiingereza kama vijarada na kuviuza. Nauliza je kuna makosa ya keshiria kukopi taarifa mitandaoni kama google n.k halafu kuzichapa ? Nahitaji msaada wenu
 
Ni kosa kama hutopata ridhaa yao au u have to make reference ...citations ...otherwise utakuwa una fanya plagiarism na ni hatar hasa kwenye field ya academic
 

Ni kosa! Tena kosa kubwa! Unaweza kushtakiwa, hiyo kitaalam inaitwa plagiarism.... ingekuwa unakopi baadhi tu ya maneno na kuyatumia kwenye kazi zako sawa, napo ni lazima uweke reference! ! Yaani utaje mwandishi wa habari husika na pia useme ulipoitoa hiyo habari. Otherwise ni kosa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…