Msaada kuhusu kumsafirisha mgonjwa

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Naomba wanajf mnisaidie juu ya haya. 1. je mgonjwa anayetibiwa kwenye hospitali za wilaya mfano ngara akipewa referal aende bugando ni lazima aende na nurse? 2. naomba kujua kwa kutumia land cruiser, kutoka biharamlo saa 2 asbh kwenda mza mjini unafika saa ngapi na je unaweza kugeuza na kufika biharamlo saa ngapi? Plz help me.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…