Mahunda Jr
Member
- Apr 5, 2020
- 74
- 83
Habari,
Nina mtoto wa mwaka 1.9 ambaye mama yake tuliachana ila kwa sasa anasema mtoto sio wangu.
Nimesitisha huduma zote na nataka kufanya mpango wa kudai gharama zangu za kumlea mpaka kufika hapo, ila najiuliza itakuwaje kama mtoto ni wangu?
Nikaona ni bora kupata kipimo cha DNA ila changamoto ni kuwa sijui naanzia wapi na garama ikoje
Mwanye uwelewa juu ya hili naomba msaada tafadhali...
Niko Moro mjini