Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 134
Hili dogo sasa baada ya kupata
div IV 27,
Phy D
bio C
chem D
kis D
maths D
geo D
eng F
His F
Civ D
NINALIAMBIA LIENDE NURSING LINAGOMA
kuhusu kurisi linasema angalau, sasa hv mtu anarisiti masomo aliyofeli tu au ni yote na akifaulu masomo hata ma3 then mengine akapata F hii inaweza ikawa mbaya au itamkost
NAOMBENI MSAADA KUHUSU HILO
jitahidi kumuelekeza vizuri aewele faida na hasara za kureseat tizama mambo yaliyochangia yeye kufanya vibaya kama ni mazingira yalikuwa nje ya uwezo wake kama (uhaba wa waalimu,vifaa shuleni) kama uwezo wake ni mdogo hatoweza kureseat mshauri tu aende nursing kwa kweli
Nimemshauli aende Upolisi then atajiendeleza kielim akiwa huko mamekubali je hz alama zitafaa na hlf ameniuliza kwan polic wanalipwa Tsh. Ngapi? Kima cha chin? Nikakosa jibu.
Sasa swali je upolisi utamfaa kwa hz alama.?