Body Armory
Member
- Jun 24, 2021
- 19
- 10
Shkrani sana mkuu nimekuelewa vzr kabisaSimpo tu mkuu, kurudia mtihani maana yake ulishafanya na unataka kujaribu bahati yako kwa mara ya pili.
Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye shule/kituo chochote kinachoandikisha wanafunzi wa kujitegemea/pc ili upewe namba rejea ambazo kila kituo hupewa na baraza la mitihani.
Kwa kawaida namba hizi huwa bure kwa mujibu wa baraza , lakini andaa elfu 30 mpaka 50 kwa ajili ya kuilipia kwa jina ya gharama ya kituo husika, lazima utatakiwa kulipia gharama hizi katika shule/kituo husika.
Ukipata ref namba unaekwenda nayo mara nyingi posta ya karibu wana dirisha linalohusika na ulipiaji wa mitihani kwa wanaorudia.
Gharama za hapo huwa 65 kwa maana ya mtihani elfu 50 na gharama za posta wao huchukua 15.
Posta watakachohitaji; namba yako ya mtihani uliyofanyia awali mfano s4554/6766/2017, kituo unachofanyia, sanduku lao la barua, email kama unayo na masomo unayorudia.
Ukiwapa ndani ya dakika 5 wanaingiza taarifa hizo na kukupatia karatasi yako ya usijali. Unaweza kuitoa kopi ukapeleka kwenye shule/kituo husika kwa rejea ya baadae.
Hapo unakua umemaliza jukumu lako na namba yako ya mtihani husika itatumwa kwenye kituo chako mwezi mmoja kabla ya siku ya mtihani. Utaenda kuichukua kwa mkuu wa shule/kituo katika muda huo tayari kwa kuanza mapambano mapya.
NB: wanaorudia mitihani hawana continuous assessment mana wao sio wanafunzi endelevu wa shule. Unajisome binafsi au baadhi ya shule/vituo hufundisha kwa mfumo wa tuition. Lakini hata kama utakua darassni na kufundishwa hutakua na alama endelevu, wewe unapambana na paper ya necta tu.
Faida yake, huvai uniform siku ya kwenda kwenye mtihani wa necta. Unatupia chchote kwa mujibu wa tamaduni za Mtanzania unazama mahakamani.
ANGALIZO: Katika kila mtihani kumbuka kubeba ile karatasi yako yenye namba ya mtihani utakayoipata toka kwa mkuu wa shule/kituo mana ndio kitambulisho chako.
Ingawa wasimamizi wanakua na sheet
nyininge toka necta yenye majina na picha zote za watahiniwa, ila nawe ni lazima kuwa na barua yako. Usijaribu kudanganya wana data zote za watahiniwa wa kituo husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsant sana kiongoz kwa muongozoKurudia mtihani NECTA wanakuchukulia kama Adult person.
HAKUNA MFUMO RASMI kwa ADULT maana wao ni well Occupied wuth responsibilities.
Ni jukumu lako kutafuta OPEN SCHOOL ambayo italandana na ratiba, uwezo wako.
Hakuna mfumo ulio wazi wa CA.
Kufanya mitihani ni vema ili kujipima kama
... una content za kutosha
... una uwezo na mbinu za kujibu maswali.
... una time management stahiki.
... kujua makosa na madhaifu katika kujifunza
Ahsante sana
Hakuna grades za private candidates pekee, grades zote zipo sawa kama wanafunzi wa shule. Naongea kama mwalimu/mkuu wa shule wa zamani mzoefu na nimehudhuria marking za mitihani mingi ya kitaifa.Grade za private candidate zinaanzia na ngapi?
Umemaliza kila kituSimpo tu mkuu, kurudia mtihani maana yake ulishafanya na unataka kujaribu bahati yako kwa mara ya pili.
Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye shule/kituo chochote kinachoandikisha wanafunzi wa kujitegemea/pc ili upewe namba rejea ambazo kila kituo hupewa na baraza la mitihani.
Kwa kawaida namba hizi huwa bure kwa mujibu wa baraza , lakini andaa elfu 30 mpaka 50 kwa ajili ya kuilipia kwa jina ya gharama ya kituo husika, lazima utatakiwa kulipia gharama hizi katika shule/kituo husika.
Ukipata ref namba unakwenda nayo mara nyingi posta ya karibu wana dirisha linalohusika na ulipiaji wa mitihani kwa wanaorudia.
Gharama za hapo huwa 65 kwa maana ya mtihani elfu 50 na gharama za posta wao huchukua 15.
Posta watakachohitaji; namba yako ya mtihani uliyofanyia awali mfano s4554/6766/2017, kituo unachofanyia, sanduku lao la barua, email kama unayo na masomo unayorudia.
Ukiwapa ndani ya dakika 5 wanaingiza taarifa hizo na kukupatia karatasi yako ya usijali. Unaweza kuitoa kopi ukapeleka kwenye shule/kituo husika kwa rejea ya baadae.
Hapo unakua umemaliza jukumu lako na namba yako ya mtihani husika itatumwa kwenye kituo chako mwezi mmoja kabla ya siku ya mtihani. Utaenda kuichukua kwa mkuu wa shule/kituo katika muda huo tayari kwa kuanza mapambano mapya.
NB: wanaorudia mitihani hawana continuous assessment mana wao sio wanafunzi endelevu wa shule. Unajisome binafsi au baadhi ya shule/vituo hufundisha kwa mfumo wa tuition. Lakini hata kama utakua darassni na kufundishwa hutakua na alama endelevu, wewe unapambana na paper ya necta tu.
Faida yake, huvai uniform siku ya kwenda kwenye mtihani wa necta. Unatupia chchote kwa mujibu wa tamaduni za Mtanzania unazama mahakamani.
ANGALIZO: Katika kila mtihani kumbuka kubeba ile karatasi yako yenye namba ya mtihani utakayoipata toka kwa mkuu wa shule/kituo mana ndio kitambulisho chako.
Ingawa wasimamizi wanakua na sheet
nyininge toka necta yenye majina na picha zote za watahiniwa, ila nawe ni lazima kuwa na barua yako. Usijaribu kudanganya wana data zote za watahiniwa wa kituo husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah mkuu hapaswi kuuliza tena! Jamii forum, the home of everthing!Umemaliza kila kitu
Kurudia mtihani wa form four ni mambo ya zamani sana,aanze chuo certificate hadi degree humo katikati hana akiwa na diploma anaweza pata kazi kabla ya degree pia hata kama ana zero form four kuna foundation kozi aanzie hapo
Ipo Open University ndio pekee inayotambuliwa na TCUNiliskia hizi foundation course zimefutwa mkuu?
Mmh zero asome chuo? Kivipi?Hakuna ukomo wa kurudia yaan huyu ana miaka minne sita au saba toka amemaliza kidato cha nne
Umemjibu ipasavyoSimpo tu mkuu, kurudia mtihani maana yake ulishafanya na unataka kujaribu bahati yako kwa mara ya pili.
Unachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye shule/kituo chochote kinachoandikisha wanafunzi wa kujitegemea/pc ili upewe namba rejea ambazo kila kituo hupewa na baraza la mitihani.
Kwa kawaida namba hizi huwa bure kwa mujibu wa baraza , lakini andaa elfu 30 mpaka 50 kwa ajili ya kuilipia kwa jina ya gharama ya kituo husika, lazima utatakiwa kulipia gharama hizi katika shule/kituo husika.
Ukipata ref namba unakwenda nayo mara nyingi posta ya karibu wana dirisha linalohusika na ulipiaji wa mitihani kwa wanaorudia.
Gharama za hapo huwa 65 kwa maana ya mtihani elfu 50 na gharama za posta wao huchukua 15.
Posta watakachohitaji; namba yako ya mtihani uliyofanyia awali mfano s4554/6766/2017, kituo unachofanyia, sanduku lao la barua, email kama unayo na masomo unayorudia.
Ukiwapa ndani ya dakika 5 wanaingiza taarifa hizo na kukupatia karatasi yako ya usijali. Unaweza kuitoa kopi ukapeleka kwenye shule/kituo husika kwa rejea ya baadae.
Hapo unakua umemaliza jukumu lako na namba yako ya mtihani husika itatumwa kwenye kituo chako mwezi mmoja kabla ya siku ya mtihani. Utaenda kuichukua kwa mkuu wa shule/kituo katika muda huo tayari kwa kuanza mapambano mapya.
NB: wanaorudia mitihani hawana continuous assessment mana wao sio wanafunzi endelevu wa shule. Unajisomea binafsi au baadhi ya shule/vituo hufundisha kwa mfumo wa tuition. Lakini hata kama utakua darasani na kufundishwa hutakua na alama endelevu, wewe unapambana na paper ya necta tu.
Faida yake, huvai uniform siku ya kwenda kwenye mtihani wa necta. Unatupia chchote kwa mujibu wa tamaduni za Mtanzania unazama mahakamani.
ANGALIZO: Katika kila mtihani kumbuka kubeba ile karatasi yako yenye namba ya mtihani utakayoipata toka kwa mkuu wa shule/kituo mana ndio kitambulisho chako.
Ingawa wasimamizi wanakua na sheet
nyininge toka necta yenye majina na picha zote za watahiniwa, ila nawe ni lazima kuwa na barua yako. Usijaribu kudanganya wana data zote za watahiniwa wa kituo husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kurudia mtihani hamna ukomo, mpaka utakapoona mwenyewe hutaki tena mambo ya mitihani ndio mwisho.Mmh zero asome chuo? Kivipi?
Hamna Mkuu ,Hivi mfano mtu alipata dv4 pt 27 akarisiti akagonga 0, si maana yake huyu anakuwa ameshuka daraja kwamba hata cheti cha kwanza hakitambuliki!