Msaada kuhusu kusoma online

Msaada kuhusu kusoma online

baraka muyabi

Senior Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
162
Reaction score
58
Habari wana jamvi... nina hitaji msaada hasa wa mawazo... nina ndugu yangu anafanya kazi bank moja hapa nchini, jana kaniambia anataka kusoma shahada/degree ya business admnistration/business management online.

Mimi n mgeni kabisa katika masuala ya online studies...naomba msaada n wapi naweza pata hiyo online "school" ili niweze msaidia huyu ndugu yangu...

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom