B Broxine Member Joined Dec 23, 2016 Posts 29 Reaction score 20 Jan 19, 2017 #1 habari zenu ndg, Nina tatizo la meno kutoboka mara kwa mara na nimekuwa nikiziba lakini bado tatizo linajirudia kila baada ya miezi mitatu. Naomba munisaidie kwa ushauri na tiba ili niondokane na tatizo hili. Natanguliza shukrani
habari zenu ndg, Nina tatizo la meno kutoboka mara kwa mara na nimekuwa nikiziba lakini bado tatizo linajirudia kila baada ya miezi mitatu. Naomba munisaidie kwa ushauri na tiba ili niondokane na tatizo hili. Natanguliza shukrani
ukhuty JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 16,879 Reaction score 41,971 Jan 19, 2017 #2 Ngoja waje