Msaada kuhusu kutuma CV na Cover letter

Msaada kuhusu kutuma CV na Cover letter

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,653
Reaction score
2,792
Habari wakuu.

Naomba kujua kama tangazo limesema CV na Cover letter zitumwe kupitia email, lakini vitu kama vyeti havijatajwa. Swali ni je natuma CV na Cover letter pekee bila attachments au la?.

Mfano ni hizi nafasi zilizotolewa na JWTZ.
 
Attachments kama cheti cha kuzaliwa na vyeti vya taaluma
 
Attachments kama cheti cha kuzaliwa na vyeti vya taaluma
 
Attachments kama cheti cha kuzaliwa na vyeti vya taaluma
 
Fuata maelekezo
Wakisema cv tu tuma cv
Wakisema CV na cover letter tuma hivyo
Wakisema CV cover letter na academic certificates tuma hivyo

Usijifanye mwerevu kutuma ambacho hujaambiwa.
 
Fuata maelekezo
Wakisema cv tu tuma cv
Wakisema CV na cover letter tuma hivyo
Wakisema CV cover letter na academic certificates tuma hivyo

Usijifanye mwerevu kutuma ambacho hujaambiwa.
Asante sana mkuu. Ilikuwa inanichanganya sana
 
Back
Top Bottom