rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Nina Laptop yangu aina ya HP nilikuwa nimeiacha chaji nimerudi nakuta Kioo kinaonyesha Rangi nyeupe tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nimejaribu kuirekebisha nimeshindwa Wataalamu tatizo ni nini jamani??[emoji24][emoji24] Na solutiom yake Je..?? Anejua anisaidie Wakuu Nimeweka picha ya Jinsi inavyoonekana hapo chini