Msaada kuhusu Laptop

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
21,952
Reaction score
43,265
Nina Laptop yangu aina ya HP nilikuwa nimeiacha chaji nimerudi nakuta Kioo kinaonyesha Rangi nyeupe tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nimejaribu kuirekebisha nimeshindwa Wataalamu tatizo ni nini jamani??[emoji24][emoji24] Na solutiom yake Je..?? Anejua anisaidie Wakuu Nimeweka picha ya Jinsi inavyoonekana hapo chini
 
Ngoja waje mkuu. Mi nimepita kwa bahati mbaya tu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ukizima ukiwasha inakuja hivyo hivyo? Jaribu ku connect na monitor ya nje
 
toa betri then ridisha uwashe

ukishindwa wacheki vijana vijana wa Coict udsm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…