Mkuu naomba niulize na mimi swali la nyongeza.Sheria zote mbili ulizozitaja zilitungwa wakati kitengo cha sheria cha chuo kikuu cha Dar kikiwa na digrii ya kwanza ya aina moja.Lakini sasa hivi nadhani wanazo mbili yaani LLB na BALE (bachelor of law inforcemet) ambayo nathani core subject nyingi za LLB nazo wanazisoma kwa kufikiri kwangu.je kwakuwa law school wameorodhesha core subjects ambazo kila anaijiunga hapo anatakiwa kuzisoma hawa wa BALE wanaweza ku qualify?Mkuu kulingana na The Law School Act of 2007 na The Advocates Act Cap 341 ukitaka kuwa wakili ni lazima uwe na degree ya kwanza ya sheria (LLB) na siyo postgraduate. Pia baada ya kupata LLB utapaswa kujiunga na Law School. Ukifaulu ndo utapetition kwa Jaji Mkuu akuapishe kuwa wakili.
Mkuu kama unania ya uwakili hauna jinsi jiunge na masomo ya degree ya kwanza, hakuna njia ya mkato. Postgraduate degrees in laws hazikupi nafasi ya kuwa wakili. Kama una kazi nakushauri jiunge na Open University komaa utafanikiwa.
ukisoma sheria na regulation zake za 2011 Law school Act its state that for a person to qualify should hv LLB degree na hizo core subject zimetajwa kama additional qualification tuMkuu naomba niulize na mimi swali la nyongeza.Sheria zote mbili ulizozitaja zilitungwa wakati kitengo cha sheria cha chuo kikuu cha Dar kikiwa na digrii ya kwanza ya aina moja.Lakini sasa hivi nadhani wanazo mbili yaani LLB na BALE (bachelor of law inforcemet) ambayo nathani core subject nyingi za LLB nazo wanazisoma kwa kufikiri kwangu.je kwakuwa law school wameorodhesha core subjects ambazo kila anaijiunga hapo anatakiwa kuzisoma hawa wa BALE wanaweza ku qualify?
dah, mkuu shukrani, but hizo LLB open inachukua muda gani?, naona mambo ni too complicated kwa nini?Mkuu kulingana na The Law School Act of 2007 na The Advocates Act Cap 341 ukitaka kuwa wakili ni lazima uwe na degree ya kwanza ya sheria (LLB) na siyo postgraduate. Pia baada ya kupata LLB utapaswa kujiunga na Law School. Ukifaulu ndo utapetition kwa Jaji Mkuu akuapishe kuwa wakili.
Mkuu kama unania ya uwakili hauna jinsi jiunge na masomo ya degree ya kwanza, hakuna njia ya mkato. Postgraduate degrees in laws hazikupi nafasi ya kuwa wakili. Kama una kazi nakushauri jiunge na Open University komaa utafanikiwa.
Mkuu nakubali na asante kwa ufafanuzi. nadhani kwa kuwa sheria imesema na iko hivyo strictly so called hatuna ujanja ila sijui nchi nyingine zenye utaratibu wa law school wanafanyajeukisoma sheria na regulation zake za 2011 Law school Act its state that for a person to qualify should hv LLB degree na hizo core subject zimetajwa kama additional qualification tu