msaada kuhusu loyola

msaada kuhusu loyola

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
539
jaman mi nauliza Loyola n ya day or boarding na ka ni ya boarding ada yake sh ngap cz hii shule nmeiona ni nzuri yan kujiunga 4m 5 so naomba mniambie coz naisikia 2
 
kwa niijuavyo loyola ni day school,bt kwa a levo wanapataga nafasi za hostel

afu mkuu mi nataka. ya hostel. sa ka una info zozote yan ada ya hostel. au umbali wa hostel na shule naomba unfahamishe
 
Back
Top Bottom