Msaada kuhusu M-pesa, Tigopesa na airtel money

Darius Tanz

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
461
Reaction score
137
Habari wanajamvi, ninatamani kuanzisha biashara ya huduma ya fedha(mpesa, tigopesa na airtel money) tatizo sijajua mimi mwenye biashara faida yangu naipataje.....asanten
 
hizi biashara za ki 'mbebez' achana nazo!!..sasa hapo utatofautianaje na 'mbebez'
 
Back
Top Bottom