Darius Tanz
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 461
- 137
Habari wanajamvi, ninatamani kuanzisha biashara ya huduma ya fedha(mpesa, tigopesa na airtel money) tatizo sijajua mimi mwenye biashara faida yangu naipataje.....asanten
hizi biashara za ki 'mbebez' achana nazo!!..sasa hapo utatofautianaje na 'mbebez'
mkuu we husijali tafadhari BOFYA HAPA
thanx majigo kuna wa2 wana fikra hasi mpaka kero!
hahahah utakonda bure ndugu, huyo jamaa ndo alivyo so husichukulie siriaz ...just ignore!!
Nakutakia mafanikio mema mkuu!