Msaada kuhusu M-Pesa

Msaada kuhusu M-Pesa

Theodore Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
940
Reaction score
225
Msaada kwa wadau wanaofanya biashara hii. Hivi kila muala unapofanyika wakala anapata asilimia ngapi? Nafikiria kufanya biashara hii.
 
Natumia kimchana angalia hapa imekaa roughly. New commisions(exclusive of VAT) wakala unapata/agent85% wakala mkuu anapata/aggregator15% commision ya deposit commision/mteja akiweka hela ntatumia alama''@'' halafu commision ya kuwithdraw/kutoa hela ntatumia alama''§'' 1,000-9,999=@137>§223 then 10,000-19,000=@171>§334 then 20,000-49,999=@205>§372 then 50,000-99,999=@343>§447 then 100,000-199,999=@480>§670 then 200,000-299,999=@686>§1,117 then 300,000-399,999=@1,029>§1,491 then 400,000-499,999=@1,372>§1,863 then 500,000 to infenity/na zaidi=@1,525>§2,070 kumbuka kwamba kwenye faida wewe unachukua 85% halafu TRA bado hawajachungulia. Kama una pc comment xangu itengenezee table ili ieleweke kiurahisi kwa manufaa ya wengine.
 
Ansante mkuu kwa ufafanuzi mzuri. Mi mwenyewe natumia kamchina
 
Back
Top Bottom