Mganga wa Jadi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2008
- 280
- 51
kuna mabati katika maduka ya jeshi na bei zao huwa ni nzuri tu maana jeshini wana ax excemption. waweza kwenda mgulani au airwing utapata mabati mazuri tu ingawa sometimes ni timing kuyapata maana watu wanayachukua kwa sana. unachohitaji ni kuwa mwanajeshi au kuwa na rafiki mwanajeshi atakayekununulia. big up.
<br />Huu mchezo upo sana,(hapo ktk red). Sasa kila mtu akikwepa kodi, nchi itajengwa na nani?
Habari za leo wakuu!!!!
Naombeni msaada kuhusu wapi nitapata bati imara na nzuri za kuezekea.
Nimeenda Nabaki Africa ya hapa Dar lakini bei zao tumeshindwana.
Ni nyumba ya vyumba vitatu iko maeneo ya kigamboni Dar 4 km from baharini.
Nashukuru kwa msaada.