Msaada kuhusu madhara ya gundi ya viatu

Msaada kuhusu madhara ya gundi ya viatu

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,025
Reaction score
4,276
Habarini za wakati huu..

Mm ni fundi viatu aina ya culters (maasai shoes) kazi zetu zina tegemea matumizi makubwa sana ya gundi .
Naombeni ushauri kwa anae jua madhara ya kiafya ya hii arufu ya gundi
 
Madhara namba moja harufu yake ni kilevi sana na kwa upande wa saratan ya mapafu huko mbeleni kama utakuwa unainusa sana bila kuvaa dusk musk
Habarini za wakati huu..

Mm ni fundi viatu aina ya culters (maasai shoes) kazi zetu zina tegemea matumizi makubwa sana ya gundi .
Naombeni ushauri kwa anae jua madhara ya kiafya ya hii arufu ya gundi
 
madhara ni kama kupumbaza ubongo yaani inalevya hivyo itakufanya kuwa adicted ,ina react ktk alcohol
 
Kama ni hiyo inayofanana na patex ,kama ikikuingia jichoni jicho linasinyaa mpaka linakufa na unabaki kuwa kipofu .
 
Kwani hamvai vifaa vya kuzuia harufu?
 
Back
Top Bottom