fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Naona yananizngua mkuu ngoz inakauka muda woteBabycare ndio mpango mzima
Nivea for men hayo ni ya bei nafuu kidogo ukitaka ya bei kubwa sema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo vp wakuu shikamoni
Kama kuna mtu anayajua mafuta ya kupaka kwa ajili ya wanaume yatakayofanya sura yangu kidog iwe smart maana sina matunzo sa hivi kidg maisha yangu yameninyookea pamba za kutosha nnazo sema natumia baby care ko kama kuna mtu anayajua mafuta mazuri hata ya gharama pia sawa naombeni mnitajie wakuu ntashkuru sana
#yunGtempeR
yes bishoo haswaaa
Mwilini mkuu
Ni mafuta hayo johson na yanauzwa bei ganJohnson
Nivea for men hayo ni ya bei nafuu kidogo ukitaka ya bei kubwa sema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tshs 7000/-Ni mafuta hayo johson na yanauzwa bei gan
yes bishoo haswaaa
Picture Sina Yapo Kwenye Kopo La Flat Kama Baby Care. Yenyewe Ni Multipurpose For Baby And AdultsShukrani vp hauna picha yake mkuu
yes bishoo haswaaa
Hayo ndio mazurii ukishindwa tumia Vaseline kama unataka ngozi inone au iwe laini kidogo, narudia tena laini kidogo tumia Vaseline ya watotoMambo vp wakuu shikamoni
Kama kuna mtu anayajua mafuta ya kupaka kwa ajili ya wanaume yatakayofanya sura yangu kidog iwe smart maana sina matunzo sa hivi kidg maisha yangu yameninyookea pamba za kutosha nnazo sema natumia baby care ko kama kuna mtu anayajua mafuta mazuri hata ya gharama pia sawa naombeni mnitajie wakuu ntashkuru sana
#yunGtempeR
yes bishoo haswaaa
Nivea/ Vaseline ,, very low price, great results, non toxicMambo vp wakuu shikamoni
Kama kuna mtu anayajua mafuta ya kupaka kwa ajili ya wanaume yatakayofanya sura yangu kidog iwe smart maana sina matunzo sa hivi kidg maisha yangu yameninyookea pamba za kutosha nnazo sema natumia baby care ko kama kuna mtu anayajua mafuta mazuri hata ya gharama pia sawa naombeni mnitajie wakuu ntashkuru sana
#yunGtempeR
yes bishoo haswaaa
Tumia Vaseline ya watoto utafurahiNaona yananizngua mkuu ngoz inakauka muda wote
yes bishoo haswaaa
Pamoj mkuuPicture Sina Yapo Kwenye Kopo La Flat Kama Baby Care. Yenyewe Ni Multipurpose For Baby And Adults
Natumia CLERE ACTIVE (FOR HIM) NI MAZUR MNO KWA NGOZI KAVU KAMA YAKO