Hayo ndio mazurii ukishindwa tumia Vaseline kama unataka ngozi inone au iwe laini kidogo, narudia tena laini kidogo tumia Vaseline ya watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgando yanaanzia 2,500Tsh lotion inaanzia 5,000Tsh size ndogo,, yapo ya gharama pia size kubwa zaidi kama unapenda kutumia pesa zaidi..Vaselin bei gan mkuu
yes bishoo haswaaa
Mgando yanaanzia 2,500Tsh lotion inaanzia 5,000Tsh size ndogo,, yapo ya gharama pia size kubwa zaidi kama unapenda kutumia pesa zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ya kiume hayo yote mkuu??
Ha ha ha,
nakushauri utumie lotion za nivea ni nzuri mno na hata cream zake pia,hazichubui bali zinailainisha ngozi vizuri mno
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni bure kbsa