Msaada kuhusu magonjwa ya mbuzi

Msaada kuhusu magonjwa ya mbuzi

The Conscious

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2021
Posts
740
Reaction score
1,218
Habar wanajamvi,

Msaada tafadhar mbuzi wangu ameugua ghafla asubuhi ameanza kulia kisha ametoa povu mdomoni tukaona tumchinje
Baada ya kumchinja tumeona mapafu yana povu.

Msaada hizo ni dalili za ugonjwa gani kwa mbuzi
 
Nisamehe nilichelewa kujibu. Kwanza pafu liko ktk hali gani? halija via damu? Pili itawezeka ilikuwa homa ya mapafu PNEUMONIA ndio inatabia hiyo ya kuua Mbuzi kwa ghafla na kujaza maji kwenye mapafu na kuharibu pafu linakuwa lina via Damu na kuwa gumu kama ini, nakushauri sasa uanze kuwapatia huduma ya kitibabu, Sindano TYLOSIN na VITAMIN.
Pia usiwatoe Mbuzi asubuhi sana, na usafishe banda kila mara kupunguza unyevu wa mikojo ya wanyama nayo husababisha kupata homa ya mapafu PNEUMONIA, pole sana ndugu naomba usihofu wapatie tiba kwa siku 5 watakaa sawa.
 
Kwaujumla ni kuwa ukishaona Mbuzi mmoja kafa hivyo hapo inatakiwa tiba haraka iwezekanavyo maana wataanza kudondoka mmoja baada ya mwingine huo ndionukweli weneyewe.
 
Shukran sana mkuu dalili zote ulizozielekeza ndy tuliziona nashuru sana kwa ushaur wako.
Nashukuru sana kwa hilo nikuombe kitu kimoja hebu sikiliza Mbuzi hasa wakiwa wamekaa jinsi wanavyopumuwa kabla hawajaenda malishoni, 1 wanahema kama wamechoka?2 unasikia mlio kwenye kuhema kwao kama miluzi?3 usiku huwa wanakohowa? nakuomba uyafwatilie hayo kwa uaharaka na tiba ianze mara moja hiyo homa huwa inawadondosha haraka sana ila wanafaa kwa kuliwa kama huja mchoma TYLOSIN.
 
Hii ni sehemu ya mapafu yaliyo haribiwa na ugonjwa huo wa homa ya mapafu.

IMG-20210724-WA0003.jpg

IMG-20210726-WA0027.jpg

IMG-20210726-WA0028.jpg
 
Ndugu yetu habari za kutwa vipi hali ya wanyama inaendeleaje? kumbuka kuwasikiliza usiku wanavyopumua maana wakiwa wana lala wanaonyesha upumuaji kama niwa shida na au wanakohowa sana. Niwatakieni nyote ufugaji mwema na mbarikiwe sana pamoja na familia zenu.
Mkuu napata wapi chanjo ya FMD? na ndio inayozuia magonjwa haya ya GOAT POKES N.K?
 
Mkuu napata wapi chanjo ya FMD? na ndio inayozuia magonjwa haya ya GOAT POKES N.K?
0754 492 222, Nakuomba wasiliana na huyu utapata chanjo zote unazohitaji, nzombz msamaha sana nimechelewa kukujibu nilikuwa namisiba vijijini huko. tuko pamoja ktk ufugaji ukikwama tafadhali naomba tuwasiliane .
Jamani chanjo/ quarantine , ni muhimu sana ktk ufugaji.
 
Ansante sana
 
Back
Top Bottom