The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Nisamehe nilichelewa kujibu. Kwanza pafu liko ktk hali gani? halija via damu? Pili itawezeka ilikuwa homa ya mapafu PNEUMONIA ndio inatabia hiyo ya kuua Mbuzi kwa ghafla na kujaza maji kwenye mapafu na kuharibu pafu linakuwa lina via Damu na kuwa gumu kama ini, nakushauri sasa uanze kuwapatia huduma ya kitibabu, Sindano TYLOSIN na VITAMIN.Habar wanajamvi,
Msaada tafadhar mbuzi wangu ameugua ghafla asubuhi ameanza kulia kisha ametoa povu mdomoni tukaona tumchinje
Baada ya kumchinja tumeona mapafu yana povu.
Msaada hizo ni dalili za ugonjwa gani kwa mbuzi
Nisamehe nilichelewa kupita huku, sasa nimesha mjibu.
Nimesha mpatia mwongozo ngoja ajae atuambie kuna swali nimemuuliza hapo.Poleni sana... Ngoja waje kukupa muongozo...
Nashukuru sana kwa hilo nikuombe kitu kimoja hebu sikiliza Mbuzi hasa wakiwa wamekaa jinsi wanavyopumuwa kabla hawajaenda malishoni, 1 wanahema kama wamechoka?2 unasikia mlio kwenye kuhema kwao kama miluzi?3 usiku huwa wanakohowa? nakuomba uyafwatilie hayo kwa uaharaka na tiba ianze mara moja hiyo homa huwa inawadondosha haraka sana ila wanafaa kwa kuliwa kama huja mchoma TYLOSIN.Shukran sana mkuu dalili zote ulizozielekeza ndy tuliziona nashuru sana kwa ushaur wako.
Naomba uangalie hizo picha nimezituma nikama hiyo hali uliikuta ktk Mapafu? hii ni homa ya mapafu na huwaondoa Mbuzi haraka sana.Shukran sana mkuu dalili zote ulizozielekeza ndy tuliziona nashuru sana kwa ushaur wako.
Nikweli CCPP,PPR,GOAT POX,ANTRAX.Wakipona, basi awe anawachanja kwa chanjo ya CCPP kila baada ya miezi 6
Mkuu napata wapi chanjo ya FMD? na ndio inayozuia magonjwa haya ya GOAT POKES N.K?Ndugu yetu habari za kutwa vipi hali ya wanyama inaendeleaje? kumbuka kuwasikiliza usiku wanavyopumua maana wakiwa wana lala wanaonyesha upumuaji kama niwa shida na au wanakohowa sana. Niwatakieni nyote ufugaji mwema na mbarikiwe sana pamoja na familia zenu.
poxMkuu napata wapi chanjo ya FMD? na ndio inayozuia magonjwa haya ya GOAT POKES N.K?
0754 492 222, Nakuomba wasiliana na huyu utapata chanjo zote unazohitaji, nzombz msamaha sana nimechelewa kukujibu nilikuwa namisiba vijijini huko. tuko pamoja ktk ufugaji ukikwama tafadhali naomba tuwasiliane .Mkuu napata wapi chanjo ya FMD? na ndio inayozuia magonjwa haya ya GOAT POKES N.K?
Ansante sana0754 492 222, Nakuomba wasiliana na huyu utapata chanjo zote unazohitaji, nzombz msamaha sana nimechelewa kukujibu nilikuwa namisiba vijijini huko. tuko pamoja ktk ufugaji ukikwama tafadhali naomba tuwasiliane .
Jamani chanjo/ quarantine , ni muhimu sana ktk ufugaji.
Ulifanikiwa ndugu?Ansante sana