Msaada kuhusu majina vyeti vya shule na application TCU/NACTE

anunnaki

Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
38
Reaction score
7
Habari wakuu.
Nina cheti cha Form IV kina jina la Benas Masalu, Form VI zimeongezwa initials EM na kuwa Benas EM Masalu na Diploma ni Other names: Benas E.M. Surname name: Masalu. Hizo initials niliongeza A level baada ya kuambiwa na Mwl mmoja ili kusaidia kutofautisha majina yanayoweza kufanana(hiyo ni middle name). System ya NACTE inahitaji jina la kwanza na la mwisho kwenye vyeti vyote lazima yafanane. First name: Benas Last name:Masalu.
Nilijisajili NACTE na wakati wa ku-apply nikajaza qualifications za O Level kama kawaida na Diploma. Nilipomaliza, system ikaleta sehemu ya kujaza qualifications za A Level, nikajaza na ikaleta message ifuatayo:
" Error!

Please confirm the names or add other seats so as to meet minimum entry qualification ie. 1P and 1S"

O-Level pass ya chini ni C, A-Level nina D E D na Diploma nina GPA ya 3.2.
Nilikwama hapo na application haikukamilika.
Niliomba msaada NACTE sijapata jibu. Muda wa application umeisha na tayari nimechelewa.

Kwa wazoefu wa system ya NACTE naombeni msaada wa kujua tatizo liko wapi na jinsi ya kurekebisha, ili siku za mbeleni niweze ku-apply tena.:help:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…