Wakuu habar, nategemea kusafir kwenda dubai mwezi ujao.
Naenda kununua vifaa vifuatavyo
Tv za inch 32 nne, zenye thamanai ya kama dirham ya UAE 600 kila moja , xbox 1 x yenye thamani kama ya dirham 1900, ps 4 pro yenye thamani ya dirham kama 1500. Na tv za inch arobaini mbili zenye thamani ya kama dirham 2300 kila moja.pia ntanunua vifaa vya vr vya htc vive na oculus rift.vyenye thamani kama ya dirham 3500 kila moja. Nauliza je ntakapotua airport dar es salaaam ntatozwa kodi tsh ngap kwa makadirio tu wakuu?