S shass New Member Joined Apr 2, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Apr 4, 2017 #1 Naombeni mnipe angalau mfano wa taarifa ya makisio ya mapato na matumizi inayopelekwa TRA inavyokuwa na je huwenda kwa mda gani?
Naombeni mnipe angalau mfano wa taarifa ya makisio ya mapato na matumizi inayopelekwa TRA inavyokuwa na je huwenda kwa mda gani?
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,252 Reaction score 6,118 Apr 4, 2017 #2 nilisikia ila sina uhakika ni ndani ya siku 21