Victor Kisanga
Member
- Jul 30, 2012
- 37
- 6
Usiogope pale udom wanasema HAMNA KITU KINACHO ITWA DEADLINE. Kilakitu kina wezekana muda wowote.... Nakwa namna yoyote
Note: source My young cc
Nakushauri kwanza kalipe hiyo 282,500 kabla ya 30sep kuhusu Ada utalipa kabla hujakwenda chuo coz hiyo direct cost ni kwaajili ya maandalizi yako.
mbona mimi silipi kitu!! kwasababu kwetu kuna NMB pekeake ntalipa nikienda Dodoma mjini.
Utaenda lin dodoma
thn jamani ada kama unamkopo b4 ujaenda chuo siinawezekana kutoa ata kidogo;;;;sababu natakakutumia ma tution feez thn nitairudishia nikishafka chuo;;so haita sumbua on regstn day;;
Kwa wale mnaosoma au mliochaguliwa UDOM naombeni mnisaidie kwa hili,
Hadi sasa nimepata sh 282,500 za direct cost na wanasema deadline ni tarehe 30 sept.
Je nikilipa ada baada ya deadline wataipokea? Na
Je kama nikishindwa kulipa hyo ada inayobak ukitoa bodi wanayonilipia wataweza kunisajili kwa kulipa direct costs tu?
Ni hayo tu, naombeni mnisaidie
hv ada na direct cost unalipia kwenye akaunt moja?
hv ada na direct cost unalipia kwenye akaunt moja?