DOMINGO THOMAS JF-Expert Member Joined Feb 16, 2023 Posts 365 Reaction score 365 Apr 11, 2024 #1 Mtu aliyechangia mfuko zaidi ya mmoja, (PSSSF & NSSF) malipo ya mafao yake i.e malipo wa pensheni ya uzee, malipo ya fao la mirathi etc atalipwa na mifuko yote miwili kwa kutumia Totalization formula.
Mtu aliyechangia mfuko zaidi ya mmoja, (PSSSF & NSSF) malipo ya mafao yake i.e malipo wa pensheni ya uzee, malipo ya fao la mirathi etc atalipwa na mifuko yote miwili kwa kutumia Totalization formula.