Msaada kuhusu mamlaka ya mapato TZ TRA

Msaada kuhusu mamlaka ya mapato TZ TRA

Joined
Jan 24, 2017
Posts
13
Reaction score
7
Je ni haki kisheria TRA kumchukulia mali mfanyabiashara ambaye hana leseni ya biashara?.
 
Wanaruhusiwa kisheria maana kama unafanya biashara ambao haina leseni maana yake unafanya magendo/biashara isiyo halali, hivyo unakua na makosa ya kukwepa kulipa kodi, kulipa ushuru na michango mingine ya serikali.

Nenda katafte leseni ya biashara kwenye halmashauri yako ili kuihalalisha biashara yako na ulipe kodi.
 
Back
Top Bottom