Wanaruhusiwa kisheria maana kama unafanya biashara ambao haina leseni maana yake unafanya magendo/biashara isiyo halali, hivyo unakua na makosa ya kukwepa kulipa kodi, kulipa ushuru na michango mingine ya serikali.
Nenda katafte leseni ya biashara kwenye halmashauri yako ili kuihalalisha biashara yako na ulipe kodi.