Rabi's-son Member Joined May 19, 2014 Posts 24 Reaction score 17 Jun 10, 2015 #1 Nmeaplai mwaka jana chuo kikuu nmepangiwa ila nkakosa mkopo nimeaplai upya mwaka huu nambiwa nidhitishe kwanza mm co mwanafunzi wa chuo nlchopangiwa mwaka jana, naombeni wandugu mnisaidie cha kufanya hapa.
Nmeaplai mwaka jana chuo kikuu nmepangiwa ila nkakosa mkopo nimeaplai upya mwaka huu nambiwa nidhitishe kwanza mm co mwanafunzi wa chuo nlchopangiwa mwaka jana, naombeni wandugu mnisaidie cha kufanya hapa.
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Jun 11, 2015 #2 thibitisha.
Rabi's-son Member Joined May 19, 2014 Posts 24 Reaction score 17 Jun 11, 2015 Thread starter #3 Kwa kufanyaje mkubwa?
I Ilambo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 475 Reaction score 89 Jun 11, 2015 #4 Mkuu km unafahamu tujuze coz tupo wengi wenye matatizo km hayo
A archi Member Joined May 24, 2015 Posts 23 Reaction score 3 Jun 11, 2015 #5 unatakiwa uende tcu kama ulisajiliwa kuna barua ya kuahirisha masomo uliandka chuo ndo hyo if not nenda watakuelekeza cha kufanya
unatakiwa uende tcu kama ulisajiliwa kuna barua ya kuahirisha masomo uliandka chuo ndo hyo if not nenda watakuelekeza cha kufanya