Msaada kuhusu mashine za EFD

Msaada kuhusu mashine za EFD

nimechafukwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
288
Reaction score
230
mm ni mfanyabiashara wa simu(simu za kichina) mjini Arusha..sasa TRA washaaza kusumbua tena wanataka wanijumuishe kwa VAT...Nashindwa kuelewa hata wakinielezea sielewi Mara nackia input tax mara cjui output mwezenu nimeishia darasa la 8 la mwaka 80...kwa anaelewa faida na hasara zake naomba anijulishe(maelezo yawe mepesi yasiochanganya kama Ya TRA)..
 
Habari! mtu anayetakiwa kutozwa VAT ni mfanya biashara anayefanya mauzo ya zaidi ya milioni 40 kwa mwaka au milio 10 katika miezi mitatu.



from TRA website


"Who qualify for VAT Registration
Any person conducting a business whose taxable turnover exceeds or is likely to exceed TSHS 40 million in a period of 12 consecutive months or TSHS 10 million in a period of 3 consecutive months is obliged to register as a taxable person. Such person shall make application to be registered within thirty days of becoming liable to make such application.
However, where the Commissioner is satisfied there is good reason to do so, on grounds of national economic interest or for the protection of the revenue, he may register any person, whether or not an application to be registered has been made and regardless of the taxable turnover of the person. Apart from registering also the taxpayers is required to buy Electronic Fiscal Device (EFD) machine and put into use.

http://www.tra.go.tz/index.php/value-added-tax-vat/97-how-should-i-register-for-vat
"
 
Back
Top Bottom