mm ni mfanyabiashara wa simu(simu za kichina) mjini Arusha..sasa TRA washaaza kusumbua tena wanataka wanijumuishe kwa VAT...Nashindwa kuelewa hata wakinielezea sielewi Mara nackia input tax mara cjui output mwezenu nimeishia darasa la 8 la mwaka 80...kwa anaelewa faida na hasara zake naomba anijulishe(maelezo yawe mepesi yasiochanganya kama Ya TRA)..