Salaam wanajamii!
Nimetumia mashine ya Datecs, kwa bahati mbaya nimeuza katika mashine zaidi sana ya kiwango halisi (Ni zaidi ya mauzo ninayoweza kufanya kwa mwezi). Nahitaji ufumbuzi katika hili; Nifanye nini / nimuone nani ili kufuta hayo mauzo?
Kaka ukihauza huwezi kufuta tena unachoweza fanya ile receipt uliyopunch tofauti na mauzo kama nimekuelewa viuzuri ipe cancell then plug the correct one halafu hiyo uliyo ikancell itunze
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.