rogers1992
Member
- Jul 1, 2013
- 26
- 1
Bado niko interesred na Matrekta,je ya Mikopo yanapatikana?na wapi?je nikiagiza used toka nje itagharim kiasi gani?na je yanalipiwa kodi pale BANDARINI?
Mi sikushauri kuagiza used toka nje, kama ni used bora ukatafuta humu humu nchini ukishirikiana na fundi wazoefu, hayo ya nje ni rahisi kubambikwa
Kuhusu kodi ni usanii fulani kwa kwa kweli. Port charges unalipa kama kawaida, kodi (VAT, Import duty na exercise duty) sawa hulipii, ila ni kwa trekta tu. Jembe, haro sijui tela unalipia ushuru kama kawaida, ndo ujinga uliopo!! yaani trekta sijui utalitumiaje bila hizo accessories
Thanks mdau,ila used hapa Bongo labda liwe trekta la manispaa/Halmashaur la kubebea taka,ila used la Kibaigwa huko kweli litakuwa strong?kuna mdau nimemsoma hapa amesema yapo used frm abroad yakija hapa unayapiga fosmetics kidogo yanadunda
mkuu naona wazifahamu sana unawea nifanyia mpango japo nipate used?Kwa mtu unayetaka kufanya kilimo na km mtaji ni mdogo tractor usijisumbue kununua mpya hizo mnazosema mpya ni mpya kweli ila zinatengenezwa na kutoka pakistan ubora wake ni mdogo sana.mimi na deal na mambo ya kilimo massey ya pakistan mfano Mf 385 huwezi kulinganisha na used Mf 255 ktk kilimo Mf 255 inaweza kulima 24hrs bila shida wkt Mf 385 ya Pakistan kwa 24hrs haiwezi inapata sn moto ninazo zote 2.mfano mwingine kwa muda huu zipo liwale zinasomba ufuta Massey 255 used naipakia viroba mpaka 110 vya ufuta wkt Massey 385 niliipakia viroba 100 ikachemsha nikashusha 20 kiroba wastan kina kilo 60.nazikodisha huko liwale kijiji cha kibutuka kusomba ufuta km kwa ushauri yoyote ani pm maana muda mwingi nakuwa polini net zinasumbua.na kwa atakayetaka ushauri wa kupata tractor mpya na used ntampa na hata aina nzuri za kununua ntamshauri