Habari zenu wataalamu, nimekunywa dozi ya PEP kwa siku 23 mfululizo, nilipoteza vidonge 5, jana usiku sijakunywa. Nili-google kuhusu mazingira hayo ya matumizi ya PEP, jibu nilikutana nalo n kuwa hayapaswi kuzidi masaa 24 toka nilipoharibu dozy, pia nnataka leo mchana niende kituo cha CTC wanakotoa hizi PEP ili nimalizie dawa zilizobaki.
Naomba ushauri zaidi kuhusu hilo